Ufafanuzi wa wahshi katika Kiswahili

wahshi

kivumishi

  • 1

    -enye kutokuwa na maana.

    ovyo, bure

Asili

Kar

Matamshi

wahshi

/wah∫i/