Ufafanuzi wa wajibisha katika Kiswahili

wajibisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya mtu awajibike.

Matamshi

wajibisha

/waʄibi∫a/