Ufafanuzi wa wakia katika Kiswahili

wakia

nominoPlural nyakia

  • 1

    kipimo cha gramu 28.35.

  • 2

    sehemu moja ya kumi na sita ya ratili (1/16).

    aunsi

Asili

Kar

Matamshi

wakia

/wakija/