Ufafanuzi wa wakilisha katika Kiswahili

wakilisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya shughuli kwa niaba ya mtu mwingine.

Matamshi

wakilisha

/wakili∫a/