Ufafanuzi msingi wa walia katika Kiswahili

: walia1walia2

walia1

kitenzi elekezi

  • 1

    weka katika daraja ya juu.

    tawaza

Matamshi

walia

/walija/

Ufafanuzi msingi wa walia katika Kiswahili

: walia1walia2

walia2

kitenzi elekezi

  • 1

    alika kwenye kazi au shughuli fulani.

Matamshi

walia

/walija/