Ufafanuzi wa walii katika Kiswahili

walii

nominoPlural mawalii

  • 1

    mtu anayefuata amri zote za kidini na makatazo yake.

    mtawa

Matamshi

walii

/wali:/