Ufafanuzi msingi wa walio katika Kiswahili

: walio1walio2

walio1

nomino

  • 1

    (agh. hutumika kwa wingi) kipande cha kijiti kinachowekwa pamoja na vyenziwe kwenye chungu au sufuria ili kinachopikwa kisipate kuungua.

Matamshi

walio

/waliÉ”/

Ufafanuzi msingi wa walio katika Kiswahili

: walio1walio2

walio2

nomino

  • 1

    namna ya uzio wa kukamatia samaki.

Matamshi

walio

/waliÉ”/