Ufafanuzi wa wanguwangu katika Kiswahili

wanguwangu

kielezi

  • 1

    harakaharaka.

    ‘Mara tukamuona anakuja wanguwangu’
    upesiupesi

Matamshi

wanguwangu

/wanguwangu/