Ufafanuzi wa wangwa katika Kiswahili

wangwa

nominoPlural nyangwa

  • 1

    mahali pwani kando ya bahari, agh. penye mikoko na mchanga, ambapo wakati wa maji mafu huwa hayafiki au maji yanapokupwa huwa pakavu.

Matamshi

wangwa

/wangwa/