Ufafanuzi wa wania katika Kiswahili

wania, ania

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    shindana ili kupata ushindi katika mchezo au kupata nafasi ya kazi ambayo watu wengi wanaitaka.

    ‘Timu za daraja ya kwanza zinawania ubingwa wa taifa’
    tapia, gombea, lapa

Matamshi

wania

/wanija/