Ufafanuzi wa wanja katika Kiswahili

wanja

nominoPlural wanja

  • 1

    rangi nyeusi ya ungaunga au majimaji inayotumiwa agh. na wanawake kupaka machoni, mikononi au miguuni kuwa ni pambo.

    methali ‘Wanja wa manga si dawa ya chongo’

Matamshi

wanja

/wanʄa/