Ufafanuzi wa wari katika Kiswahili

wari

nomino

  • 1

    kipimo kinacholingana na urefu wa mikono miwili au kiasi cha yadi moja.

    yadi

Asili

Kaj

Matamshi

wari

/wari/