Ufafanuzi wa wasia katika Kiswahili

wasia, wosia

nomino

  • 1

    maagizo ya mtu kwa watu wake ambayo anataka yatimizwe iwapo atakufa au kuondoka.

Asili

Kar

Matamshi

wasia

/wasija/