Ufafanuzi wa wasifukazi katika Kiswahili

wasifukazi

nominoPlural wasifukazi

  • 1

    muhtasari wa maelezo binafsi ya mtu kuhusu elimu, ujuzi, n.k. unaoambatishwa barua ya kuomba kazi au kujitambulisha.

Asili

Kar

Matamshi

wasifukazi

/wasifukazi/