Ufafanuzi msingi wa wayo katika Kiswahili

: wayo1wayo2

wayo1 , uwayo

nomino

 • 1

  sehemu ya chini ya mguu inayokanyaga.

  unyayo

 • 2

  alama inayoachwa na mguu unapokanyaga mahali.

Ufafanuzi msingi wa wayo katika Kiswahili

: wayo1wayo2

wayo2

nomino

 • 1

  samaki wa maji ya chumvi aliye bapa na mpana na ambaye hana nyama nyingi na ana alama ndogo zilizofanana na chuchu za matiti.

Matamshi

wayo

/wajÉ”/