Ufafanuzi wa waziri katika Kiswahili

waziri

nominoPlural mawaziri

  • 1

    mtu aliyepewa madaraka ya kisiasa kusimamia na kuongoza wizara fulani katika serikali.

    ‘Waziri wa Fedha’
    ‘Waziri wa Elimu’
    ‘Waziri wa Afya’

Asili

Kar

Matamshi

waziri

/waziri/