Ufafanuzi wa wazo katika Kiswahili

wazo

nominoPlural mawazo

  • 1

    jambo linalofikiriwa.

    fikira, gezo

Matamshi

wazo

/wazɔ/