Ufafanuzi wa weka katika Kiswahili

weka

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    tua kitu mahali.

    ‘Weka kitabu mezani’
    ‘Weka silaha chini’

  • 2

    saza, bakiza, limbikiza

Matamshi

weka

/wɛka/