Ufafanuzi wa Weka kinyumba katika Kiswahili

Weka kinyumba

msemo

  • 1

    weka mwanamke nyumbani kama kwamba umemuoa.