Ufafanuzi wa welekevu katika Kiswahili

welekevu

nominoPlural welekevu

  • 1

    wepesi wa uelewaji wa jambo.

  • 2

    tabia ya mtu kufuata maneno mazuri anayoambiwa.

Matamshi

welekevu

/wɛlɛkɛvu/