Ufafanuzi wa wembamba katika Kiswahili

wembamba

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa nene au pana; hali ya kukonda.

Matamshi

wembamba

/w…õmbamba/