Ufafanuzi wa wembembe katika Kiswahili

wembembe

nomino

  • 1

    mdudu mdogo anayefanana na nyuki na agh. hujenga kwenye nyufa za nyumba.

Matamshi

wembembe

/wɛmbɛmbɛ/