Ufafanuzi wa wenga katika Kiswahili

wenga

intransitive verb

  • 1

    pata athari ya ugonjwa wa ngozi k.v. kutokwa na upele baada ya kula kitu kinachodhuru mwili.

Matamshi

wenga

/wɛnga/