Ufafanuzi wa weni katika Kiswahili

weni

nomino

  • 1

    mmea ambao majani yake huwasha kama kiwavi na ambao hutumika kutengenezea dawa ya vidonda.

Matamshi

weni

/wɛni/