Ufafanuzi wa wenzo katika Kiswahili

wenzo

nominoPlural nyenzo

  • 1

    kitu k.v. fimbo au gongo kinachotumiwa kuinulia au kubingirishia kitu kingine, agh. kilicho kizito k.v. gogo.

    mpiko

  • 2

    kitu kinachorahisisha kazi.

Matamshi

wenzo

/wɛnzɔ/