Ufafanuzi wa weweseka katika Kiswahili

weweseka

kitenzi sielekezi~ea, ~esha

  • 1

    sema maneno, agh. yasiyofahamika, mtu akiwa usingizini.

  • 2

    zungumza katika ndoto.

    hohosa, babaika

Matamshi

weweseka

/wɛwɛsɛka/