Ufafanuzi wa wezesha katika Kiswahili

wezesha

kitenzi elekezi

  • 1

    saidia mtu ili aweze kufanikisha jambo fulani.

    jalia

Matamshi

wezesha

/wɛzɛ∫a/