Ufafanuzi msingi wa wia katika Kiswahili

: wia1wia2wia3

wia1

kitenzi sielekezi

 • 1

  anza kupata joto k.v. kwa maji yaliyowekwa kwenye moto.

Matamshi

wia

/wija/

Ufafanuzi msingi wa wia katika Kiswahili

: wia1wia2wia3

wia2

kitenzi elekezi

 • 1

  taka kilicho chako kutoka kwa mtu mwingine; dai.

  ‘Hamisi anawia Ali fedha nyingi’

Matamshi

wia

/wija/

Ufafanuzi msingi wa wia katika Kiswahili

: wia1wia2wia3

wia3

nomino

 • 1

  wimbo au utenzi usio na vina wala mizani.

Matamshi

wia

/wija/