Ufafanuzi wa wiche katika Kiswahili

wiche

nominoPlural wiche

  • 1

    hali ya kuambukiza na kueneza k.v. kwa ugonjwa au tabia.

    ‘Tia wiche’
    ‘Pata wiche’
    wito

Matamshi

wiche

/witʃɛ/