Ufafanuzi wa winchi katika Kiswahili

winchi, winji

nominoPlural winchi

  • 1

    mtambo wa kuvutia kamba ya nanga au kupakulia mizigo melini, jahazini, n.k..

    manjanika, kreni

Asili

Kng

Matamshi

winchi

/wintʃi/