Ufafanuzi msingi wa winda katika Kiswahili

: winda1winda2

winda1

nominoPlural mawinda

 • 1

  mvao wa nguo ya chini k.v. shuka au kikoi kwa kupitisha baina ya mapaja na kupachika upande wa mbele wa kiuno au nyuma ya kiuno.

 • 2

  nepi, ubinda

Matamshi

winda

/winda/

Ufafanuzi msingi wa winda katika Kiswahili

: winda1winda2

winda2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  vizia, agh. mnyama msituni, kwa kumsaka na kumpiga kwa silaha.

  saka

Matamshi

winda

/winda/