Ufafanuzi wa winga katika Kiswahili

winga

kitenzi elekezi

  • 1

    tia mbioni.

    fukuza, kimbiza, shaka, furusha, shunga

Matamshi

winga

/winga/