Ufafanuzi msingi wa wingi katika Kiswahili

: wingi1wingi2

wingi1

nominoPlural wingi

  • 1

    upande wa marefu ya uwanja wa mpira.

Matamshi

wingi

/wingi/

Ufafanuzi msingi wa wingi katika Kiswahili

: wingi1wingi2

wingi2

nominoPlural wingi

  • 1

    hali ya kuwa zaidi ya moja; kinyume cha uchache.

    akthari

Matamshi

wingi

/wingi/