Ufafanuzi wa wingu katika Kiswahili

wingu

nominoPlural mawingu

  • 1

    mvuke unaoganda na kuwa mzito uonekanao angani.

    ‘Mawingu yametanda angani’
    furufuru

Matamshi

wingu

/wingu/