Ufafanuzi msingi wa wito katika Kiswahili

: wito1wito2wito3

wito1

nomino

Matamshi

wito

/witɔ/

Ufafanuzi msingi wa wito katika Kiswahili

: wito1wito2wito3

wito2

nomino

  • 1

    majimaji au urojorojo wa chuma kilichoyeyushwa.

Matamshi

wito

/witɔ/

Ufafanuzi msingi wa wito katika Kiswahili

: wito1wito2wito3

wito3

nomino

  • 1

    hali ya kuita au kuitwa.

Matamshi

wito

/witɔ/