Ufafanuzi wa woga katika Kiswahili

woga, uoga

nomino

  • 1

    hali ya kuwa na hofu ya kufikwa na jambo la kutisha au la taabu; hali ya kutoweza kustahimili vitisho.

    kitete, kicho, hofu, hawafu