Ufafanuzi wa yadi katika Kiswahili

yadi

nomino

  • 1

    kipimo cha urefu cha inchi 36 au futi 3.

    wari

Asili

Kng

Matamshi

yadi

/jadi/