Ufafanuzi wa yahom katika Kiswahili

yahom

kiingizi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    neno linaloelezea au kuashiria kufika kwa chombo k.v. jahazi, mahali palipokusudiwa.

    ‘Upepo wa yahom’

Asili

Kar

Matamshi

yahom

/jahɔm/