Ufafanuzi msingi wa yai katika Kiswahili

: yai1yai2yai3

yai1

nominoPlural mayai

  • 1

    kitu cha mviringo chenye kaka gumu na ute wa rangi nyeupe na manjano ndani ambacho hutagwa na ndege, kuku au wanyama watambaao na husababisha kuzaliwa kiumbe kingine.

  • 2

    seli inayotolewa na kiumbe jike ambayo ikiungana na mbegu ya kiume huumba mtoto.

Matamshi

yai

/jaji/

Ufafanuzi msingi wa yai katika Kiswahili

: yai1yai2yai3

yai2

nominoPlural mayai

Matamshi

yai

/jaji/

Ufafanuzi msingi wa yai katika Kiswahili

: yai1yai2yai3

yai3

nominoPlural mayai

  • 1

    sehemu ya ndani ya chupa ua chai isiyoruhusu kitu kupoa.

Matamshi

yai

/jaji/