Ufafanuzi wa yavuyavu katika Kiswahili

yavuyavu

nomino

  • 1

    buhumu
    and → pafu

  • 2

    kitu chochote namna ya sifongo ambacho ni laini na kinachovuta maji.

Matamshi

yavuyavu

/javujavu/