Ufafanuzi wa yongoa katika Kiswahili

yongoa

kitenzi elekezi

  • 1

    beba mtu juu ya mabega; piga chuchuli.

Matamshi

yongoa

/jɔngɔwa/