Ufafanuzi wa yugayuga katika Kiswahili

yugayuga

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    hangaika huku na huku.

    babaika

Matamshi

yugayuga

/jugajuga/