Ufafanuzi wa yugwa katika Kiswahili

yugwa

nominoPlural mayugwa

  • 1

    kiazi cheupe cha mmea wenye majani mapana yaotayo kwenye kikonyo, kinachotoka moja kwa moja ardhini, agh. penye majimaji.

    ‘Mboga ya mayugwa’
    jimbi

Matamshi

yugwa

/jugwa/