Ufafanuzi wa yumba katika Kiswahili

yumba

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda huku na huku k.v. mti mrefu unapopigwa na upepo.

    pepa

  • 2

    methali ‘Mti mkuu ukianguka wana wa ndege huyumba’
    hangaika

Matamshi

yumba

/jumba/