Ufafanuzi wa yungiyungi katika Kiswahili

yungiyungi

nomino

  • 1

    ua lenye majani mapana linalomea katika maji na kutambaa.

Matamshi

yungiyungi

/jungijungi/