Ufafanuzi wa yunifomu katika Kiswahili

yunifomu

nominoPlural yunifomu

  • 1

    nguo rasmi zinazofanana na zinazovaliwa na kikundi cha watu wanaofanya kazi fulani au kuwemo katika umoja au uhusiano fulani.

    ‘Yunifomu za wanajeshi’
    ‘Yunifomu za shule’
    sare

Asili

Kng

Matamshi

yunifomu

/junifɔmu/