Ufafanuzi wa zaatari katika Kiswahili

zaatari

nominoPlural zaatari

  • 1

    majani maalumu yanayochemshwa na kuwa kinywaji au huchanganywa kwenye vinywaji vingine k.v. chai au maziwa ili kuleta harufu nzuri.

Asili

Kar

Matamshi

zaatari

/za:tari/