Ufafanuzi wa zaba katika Kiswahili

zaba

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    piga kwa kofi.

    ‘Nitakuzaba makofi’
    nasa, ezeka, piga

Asili

Kar

Matamshi

zaba

/zaba/