Ufafanuzi wa zabibu katika Kiswahili

zabibu

nominoPlural zabibu

  • 1

    tunda dogo la mviringo lenye rangi ya zambarau au kijani linapoiva, ambalo huliwa au kutengenezwa mvinyo.

Asili

Kar

Matamshi

zabibu

/zabibu/