Ufafanuzi wa zaha katika Kiswahili

zaha

nomino

  • 1

    ujiuji unaotoka kwenye volkano.

    lava

  • 2

    mawe yaliyotengenezwa kutokana na ujiuji huo.

Matamshi

zaha

/zaha/